ANGALIA LIVE NEWS

Friday, October 7, 2011

MKUTANO MKUBWA WA NENO LA MUNGU UKIENDELEA,COLLEGE PARK,MARYLAND,NCHINI MAREKANI

Bishop Peter Kitule kutoka Tanzania akiongea na waumini waliofika Alhamisi,October 6,2011 kwenye kanisa hilo lililopo College park,Maryland,Nchini Marekani.
Bishop Peter Kitule(shoto akisisitiza jambo huku akiwa na mwimbaji wa nyimbo za Injili,Christina Shusho
shoto ni mchungaji Niku akiwa na Rev Grace Mbise kutoka Arusha
Mchungaji John Mbatta
Mchungaji Frednand Shudeko
Upendo Nkone(shoto) na Upendo Kilahiro wakifuatilia Ibada
Christina Shusho akifuatilia Ibada
Waumini waliohudhulia ibada hiyo inayoendelea kwa wiki nzima hivi sasa hapo College park,Maryland
Kuliani Mubelwa Bandio(changamoto yetu Blog)akifuatilia Ibada
Juu na chini ni Waumini waliohudhulia ibada hiyo ya mkutano wa neno la Mungu
Kwa picha zaidi Bofya Read More

2 comments:

Anonymous said...

mbarikiwe sn wapendwa

Rachel Siwa said...

Mungu awe nanyi daima, babaP nimekusoma ubarikiwe sana kaka.