ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, October 22, 2011

MOZA NA SARAI WAMEREMETA

Bwana Harusi na Bibi Harusi wakiwa wameketi kwa furaha kabisa kwenye siku yao maalum ya harusi yao iliyofanyika Silver Spring,Maryland,Nchini Marekani
 
Bwana na Bibi Harusi wakiwa wamesimama baada ya kuingia Ukumbini kusherehekea siku hii maalum kwao
Bwana na Bibi harusi wakiwa wamesimama huku kulia ni mama mwenye nyumba wa Idrisa akiapata picha ya pamoja na maharusi

Maharusi wakiwa na wapambe wao
Maharusi wakiangalia wageni wao na mapaparazi wakiendelea na sherehe na nderemo ya siku hii maalum kwao na picha za hapa na pale.
Bwana na Bibi Harusi wakielekea kuchukua chakula.
Bawna na Bibi Harusi wakipakua chakula chao.
Wakiangalia menye ya nguvu iliyokuwepo hapo
Bi Harusi akionekana kushikwa na mshangao kwa Bwana Harusi na msosi kiduchu aliopakua lakini Bwana Harusi yeye anasema ni kwa sababu ya siku hii maalumu kwao imefanya ajisikie ameshiba kwa furaha ya kumpata Bi Moza
Nishike bega mapenzi ndivyo anavyosema Bi Harusi.
Bwana na Bibi Harusi wakiwa mbele ya keki yao.
Bwana na Bibi Harusi wakiwa tayari kukata keki kulia ni Dada Asha
Keki ya Maharusi
Kwa picha zaidi Bofya Read More

Bwana na Bibi Harusi wakikata Keki
Wakiendelea taratibu kukata keki yao ya Harusi
Asha(kulia) akiwaandalia Keki waliyokata
Sarai akimlisha keki mama mwenye nyumba wake,Bi Moza
Bi Moza akimlisha keki Baba mwenye nyumba wake,Bw,Sarai
Sarai akimchum mkewe,Bi Moza
Asha akitoa maneno mawili matatu kwa Bwana na BibiHarusi
Afisa Ubalozi wa Tanzania Nchi Marekani,Suleiman Salehe nae alipata wasaa wa kuongea mawili matatu kuwahusia Bwana na Bi Harusi.
Bwana na Bibi Harusi wakisikiliza kwa makini.
Bwana Sarai na Bi Moza wakielekea kucheza Dansi yao ya kwanza kama mke na mume
Picha Juu na chini ni Bwana na Bibi Harusi wakicheza Dansi kwa mara ya kwanza kama mke na mume
Wageni waakwa wakishuhudia
Picha juu na chini ni wageni waalikwa washerehekea Harusi ya Bwana Sarai na Bi Moza

2 comments:

Anonymous said...

Hongera zao, nawatakaia furaha ktk ndoa yao !!

Anonymous said...

kaka yangu Sarai na wifi Moza mmependeza sanaaaaaaaaaaaaa hongera nyingi nimeipenda.
Saadah!