Wageni waalikwa waliokuwepo kwenye sherehe ya harusi ya Moza na Sarai liyofanyika Silver Spring,Maryland Nchini Marekani kwenye picha ni Dr Hamza Mwamoyo(kati) Aunt Rehema(kulia) na Zuhura Ernest
Wageni kutoka sehemu mbali mbali walikuwepo kwenye sharehe za harusi za Moza na Sarai zilizofanyika Silver Spring,Maryland kwenye picha kutoka shoto ni Joyce Kasembe,Tatu Ernest na Sakina Underwood
Kulia ni Mercy Dachi akiwa na Sara
Wageni waalikwa kutoka sehemu mbalimbali wakiwa kwenye picha ya pamoja
wageni waalikwa katika picha ya pamoja
Babu na wajukuu wakipata picha ya pamoja
Wageni waalikwa wakipata picha ya kumbukumbu kwenye sherehe ya harusi ya Moza na Sarai
Afisa Ubalozi wa Tanzania,Nchini Marekani,Suleiman Salehe(shoto) akipata picha na MC wa harusi ya Moza na Sarai,Ndugu Kinyemi.
wageni wakiwa kwenye sherehe ya harusi ya Moza na Sarai
Wageni waalikwa wakimsikiliza MC(hayupo pichani) kujua nini kinafuata.
wageni waalikwa wakipata picha ya pamoja
Bibi akiwa na mjukuu wake nao hawakua mbali na kamere ya VIJIMAMBO
Maaunt zetu nao wakipata picha ya pamoja.
Kwa picha zaidi Bofya Read More
No comments:
Post a Comment