Vifaa vya Mashuleni Vinapatikana Dar es salaam, Ukonga ,Karibu na Uwanja wa J.K Nyerere
*Tuna Viti vya wanafunzi Kuanzia Chekechea mpaka Sekondari
Idadi inapatikana kwa wingi sana.
Karibu Ujionee mwenyewe
Unachagua rangi upendayo.
Kwa mahitaji ya vifaa vya Mashuleni Wasiliana na
Mr. Mussa Yahya
Piga namba 0719 662000





1 comment:
Ndugu zangu mliobuni mradi huu mmefanya jambo la maana sana. Nimekuwa nikishangaa viongozi kuchangisha pesa nyingi za madawati (madawati yenyewe mbao na misumari:-) baada ya muda mfupi yanakuwa tayari poyo poyo.Nilikuwa nashangaa ni kwa nini wameshindwa kuingiza bidhaa hizi za plastick (kama kwenye shule za huku majuu) ambazo ni maridhawa na zinazodumu.
Natumai mashirika kama Vodacom/Airtel etc yanayochongesha ma-deski ya mbao kama msaada kwenye mashule wataanza kutumia bidhaa za plastick. (chairs and desks)
Big up and keep up the good job.
Post a Comment