Advertisements

Sunday, October 16, 2011

TANZANIA MITINDO HOUSE WAPAGAWISHA KWENYE JAMBO AFRICA CHILD HOPE,NEWARK,DELAWARE

 Models wakipita mbele ya wageni waliokuwepo kwenye sherehe za Jambo Africa Child Hope zilizo fanyika Jumamosi October,15,2011 Mjini Newark,Delaware Nchini Marekani kwa mitindo iliyobuniwa na wabunifuTANZANIA MITINDO HOUSE ambao ni khadija mwanamboka;jamila swai;mustafa hassanali;farha sultan;zamda george;gabriel mollel;na binti afrika
 Model akipita mbele ya Wageni waalikwa
 Model akifanya vitu vyake
 Models wakipita kwa madaha kwa wageni waalikwa kwenye sherehe hizo zilifanyika Newark,Delaware
 Model akifanya vitu vyake
 Model akipita na madaha mbele ya wageni waalikwa
 Model akionyesha jinsi gani alivyokamaa kwenye anga hizi za Umodo
 Model akipita mbele ya wageni waalikwa.
 Model akipagawisha mashabiki wa mitindo
 Models wakiwa kwenye picha ya pamoja na farha sultan(aliyesimama nyuma kati)
Juu na chini Models wakiwa kwenye picha ya pamoja

No comments: