Advertisements

Sunday, October 16, 2011

SHEREHE ZA JAMBO AFRICA CHILD HOPE ZAFANA

 
Mama Kimolo mwanzilishi wa Jambo Africa Child Hope akiongea Jambo kwenye sherehe hizo zilizofanyika mji wa Newark,Delaware,Nchini Marekani
Uongozi wa Jambo Africa Child Hope wakiwa kwenye picha ya pamoja
 
Maria Mtei(shoto) akiwa na Stela Ndossi
 Bruno Mazali nae ndani ya nyumba
 Mdau ambae jina halikupatikana mara moja nae akiwa kwenye sherehe hizi za Jambo Africa Child Hope
 Wadau wakiwa ndani nyumba
Wadau waliokuwepo kwenye sherehe za Jambo Africa Child Hope zilizofanyika Newark,Delaware
 
Wadau hawa wakiwa na mtoto wao ambao hawakutaka kuikosa shughulu hii
Watu kibao walikuwepo kwenye sherehe hizo za Jambo Africa Child Hope.
Kwa picha zaidi Bofya Read More

No comments: