Advertisements

Sunday, October 16, 2011

YANGA YA UGHAIBUNI YAIBANJUA SIMBA 6-4 MECHI YACHEZWA EXTRA TIME BAADA YA DKK 90 KUTOKA SARE YA 4-4

 KIKOSI CHA YANGA UGHAIBUNI
 KIKOSI CHA SIMBA UGHAIBUNI
 Mgeni wa heshima kwenye mpambano huo wa Simba na Yanga,Naibu Balozi wa Tanzania Nchini Marekani na Mexico,Mama Munanka akikagua kikosi cha Simba.
 Naibu Balozi wa Tanzania Nchini Marekani na Mexico,Mama Munanka akikagua kikosi cha Yanga.
 Mashabiki wa Yanga
 Naibu Balozi wa Tanzania Nchini Marekani akikabidhi Kombe kwa Kepteni wa Yanga Adam Jongo
 Wachezaji na Mashabiki wa Yanga wakishangilia Kombe la Uhuru
Timu ya Yanga ikipiga picha ya pamoja na mashabiki wakiwa na Kombe la Uhuru

16 comments:

Anonymous said...

Hii sio Simba na Yanga,ni Luka agaist Libe.

A DOLA said...

Jamani how i wish i was there but unfortunately could not make it...but nawapa sana pongezi wa yanga kwa kutwa kombe nice game and keep it up always........nilisikia some simba fans eti refa alikua wako bwana/mzee luka....hahaha hayo ni maneno ya mkosaji...simba mkubali tu tulikuzidini u know there a winner and loser in games .....au sio,ile siku ya mechi virginia sababu was mvua and was there kuushangilia timu yangu ya yanga...yanga ya yanga oyeeeeeee,MEYA SEATTLE WA(A.DOLA)

Anonymous said...

Kweli kabisa hiii ni luke against libe sawa sawa kabisa luke ana uzalendo kabisa mnazi sana .....bora uendeleee na u DJ mambo ya soka uwezi kwenz a mpira wenyewe ukucheza ... ....

Anonymous said...

UJUMBE;
Luka/libe majeshi ya sio kuwa Tanzania BASI SASA, it is TIME sasa Watanzania kwa Watanzania kudumisha utamaduni wao.! Simba Vs Yanga , no more wa kenya, wanaigeria,Senegal ... Ni aibu hata kumleta Balozi wetu wa Tanzania kuwa mgeni wa hashima. " tudumishe utamaduni wetu jamani" hata Kama tutafungwa, there are no winner or looser here , it is the love of the Game & true Simba ya Yanga Traditinal .

bagasa said...

It feels so good that the game was Luka against Libe. I didn't realize that I have potential to own Simba Ugaibuni- good news...Good game Lucas. lets do it again next year.

mbongo DC said...

No any good game for Luke libe ww unaleta majeshi kwa nini hamjiamini wachezaji wapo wangapi watanzania ww libe na luke kwanza wote hamjui mpira ww mwenyewe ujui number ngapi unacheza usiseme eti well done luke mechi ya simba na yanga wala msijihushe tena ww na luke wako ungeweza mpira ulipelekwa taifa stars ukashindwa mpira sio lelemama wewe libe kwanza mimi mpaka leo sijui unacheza number ngapi kuna wabongo kibao DC wanapiga sana soka ila kwa zengwe lenu ww na huyo luka wako ndio maana hamtafika popote nyie kama ni simba na yanga ughaibuni waacheni wabongo kwa wabongo wacheze sio mnaleta majeshi hamtaendelea angalia wewe libe umengania penalt ukakosa tangu lini unakwenda kupiga penalt unagush ndio unapiga tamaaa tu ya kujifanya eti ww simba damu acha unazi wewe na luk a wako.

Anonymous said...

Luke hata aoni aibu ajiamini mpaka mwambata wa serikali majeshi nchini USA mzee wetu maganga alisema sasa hii mechi ni watanzania au wa west wamejaaa umu ndani hii sio simba na yanga hii... yote ni wewe luke na libe hamjiamini na timu zetu luke uko radhi umkatie mtu ticket ya ndege aje acheze mpira kwa sababu ujiamini bora hiyo hela uwape yatima bongo mwenyezi mungu atakushuru

Anonymous said...

Ukiwa unatoa critism usifiche identity yako. Watu wapo so civilized kuaccept na work on it. unavyo kuja na anonymous hauna nguvu.Unaonekana ni mlevi tu na unamajungu- certified idiot... Stand up na utoe hoja za msingi watu wazifanyie kazi. sio unakuja eti unaitwa mbongo DC. Nimajungu,unafiki na ukunguru.

Stand up for your opinion. Kenge we.

bagasa said...

Everyone is entitled to his/her opinion...So as mbongo DC and anonymous.

Anonymous said...

Ukiona mtu anababaikia watu huyo kichaa Libe umeifungisha Simba,unaeta watu wasio na mapenzi ya watu wa Msimbazi,Lukas ndio kabisa hafai,mambo kama haya ndio yalileta Bongo Real na DC Unyalugusu,usilete kabisa sura yako BR,go DC UNy!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Anonymous said...

Michezo furaha jamani tupunguze munkari......tufurahi tuu jamani.

Anonymous said...

Mtasemaaaa usiku mtalala..... Kelele za mwendawzimu hazimzuii mwenye akili timamu kufanya atakalo. Wote mnaongea sana either viwango vidogo, mnachuki, au hamjaenda shule kuweza kuwa na constructive arguments. Some people will be illegal for life.

Anonymous said...

Nasema hivi Simba niwanaume na Yanga niwanaume kumbuka wamecheza mpira dkk 90 wote wametoka sare kumanisha kwamba wote ni washindi.ushindi wa mikwaju si ushindi.mpira mzr nipale unapo usakata uwanjani si kufunga kwa minati.

Anonymous said...

huyo jamaa alokuwa hana jina anayekipaka i dont think kama wewe unajua huo mpira unaongea none sense kama teenager,nakuuliza swala kwani simba na yanga washabiki wao ni watanzania pekee yao au timu za simba na yanga nyumbani hazina wachezaji wa njee,wewe wacha kelele kama muuza mitumba heshimu watu na wewe upate heshima,wewe umecheza mpira wapi????????from west coast.

Anonymous said...

wewe unaonekana unachuki zako binafsi sio mpira simba na yanga ni sababu tu,tulia kijana heshma kidogo

Anonymous said...

Kazi ipo wana kila mtu kwao kwao,