
Timu ya pool ya Wabongo DC 8 Breakers jana walijinyakulia ngao ya mabingwa wa pool wa 73 Division mashindano yaliyofanyika Laurel na leo jumapili October 23,2011 kuanzia saa 1 usiku watacheza fainali za kutafuta bingwa wa APA fainali hizi zitafanyikia Bank Shot Bar & Grill Add 3249 Fort Mead Rd,Laurel,MD 20724
Wote mnakaribishwa kushangilia timu yetu ya Pool
1 comment:
Big up my brothers, its a nice move. All the best.
Post a Comment