Said Mwamende akiwa na bendera ya DC Nyarugusu
Mchezaji na shabiki wa DC Nyarugusu
Kocha na wachezaji wa DC Nyarugusu wakiingia uwanjani
Kushoto ni Kocha wa Cameroon akipata picha ya pamoja na kocha wa DC Nyarugusu
Kocha wa Cameroon akiwaeleza jambo wachezaji wake kabla ya gemu
Timu ya Cameroon ambayo jana iliibanjua 9-1 timu ya DC Nyarugusu kwenye uwanja wa Heurich uliopo Hyattsville,Maryland Nchini Marekani
Timu ya DC Nyarugusu(wazee wa dozi) jana ilikikwaa kisiki ilipobanjuliwa na Cameroon 9-1 kwenye mchezo uliokua wa kusisimua
Mashabiki na wachezaji waliokuwepo uwanjani hapo wakifuatilia mpambano
Mapunziko kocha na wachezaji wakipanga mikakati ya kuingia nayo kipindi cha pili
Mchezaji wa Kesho
Mashabiki wakiondoka kabla ya mpira kwisha na hapa magoli yalikua 7-1
No comments:
Post a Comment