ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, November 16, 2011

MFANYABIASHARA ANAYETUHUMIA KUFUGA MISUKULE

Mfanyabiashara maarufu wa mjini Iringa, Mama Mbilinyi akiingizwa ndani ya gari la Polisi kabla ya wananchi wenye hasira kali hawajamjeruhi kwa tuhuma za kufuga misukule. (Picha na Frank Leonard).

1 comment:

Anonymous said...

Huyu siyo shangazi wa kina Nnali Mbilinyi? Naona jinsi anavyofanana na shangazi wake. Poleni jamani.