Katibu wa NEC ya CCM Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye(shoto) akiwa pamoja na Alawi Omar,Julius Makiri na Fadhili Londa alipokutana nao Jumamosi November 5,2011,Odenton,Maryland,Nchini Marekani.
Kushoto ni Alwai Omar akiwa na Julius Makiri wakimsikiliza Nape Nnauye(hayupo pichani)
kutoka kushoto ni Katibu wa NEC ya CCM Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye,Alawi Omar na Makiri wakimsikiliza mmoja ya mdau(hayupo pichani) alipokua akiongea jambo.
Katibu wa NEC ya CCM Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akichangia hoja kwenye mazungumuzo hayo yaliyofanyika,Odenton,Maryland,Nchini Marekani Jumamosi,November 5,2011.
Kutoka kulia ni Katibu Mkuu Msaidizi Itikadi na Uenezi ya CCM,Sixtus Mapunda,Yakub Kinyemi,Katibu wa NEC ya CCM,Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye,Loveness Mamuya,Lemy Mhando,Alawi Omar na Julius Makiri wakipata picha ya pamoja Jumamosi ya November 5,2011,Odenton,Maryland,Nchini Marekani.
No comments:
Post a Comment