ANGALIA LIVE NEWS

Friday, November 4, 2011

THANKSGIVING HOUSTON NOV 24-27,2011


Juu na chini ni Wadau walivyokuwa wakipagawika na Thanksgiving ya Mwaka jana Houston,Texas Mwaka huu tunafikiaria mambo yatakua Bam Bam na VIJIMAMBO na Stars United itakua ndani ya Nyumba kama Desturi yetu.

1 comment:

Anonymous said...

Oyaaa, tunasubiri vituko tu hapa. Naona kukawia!