Juu na chini ni Mwandiko Traders Co.Duka la Mtanzania aishie Columbus, Ohio anaeitwa Agnes Mwandiko duka lililojaa vitu vizuri kutoka Tanzania na Afrika, Duka hili lipo 848 mtaa wa North High, Columbus, Ohio kwa Wakaazi wa Ohio na Watanzania wengine karibu umtembelee dada yetu, na kumuunga mkono. simu yake ni 614 795 0696
"Mwaka 2012 uwe mwaka wa kunyanyuana"
Kushoto ni Agenes Mwandiko akimueleza jambo mdau wa Columbus, Ohio, Peter Kirigiti ambae Jumamosi December 24, 2011 alimtembelea Dukani kwake.
Khanga nzuri kama unavyoona katika picha hii.
Khanga za kila aina, miko na vipawa.
Nguo za vitenge na khanga ubunifu wa hali ya juu zote zinapatikana Mwandiko Traders
Haya Watanzania wenzangu vitu hivyo hapo
Mapambo ya kila aina.
Vitu hivyo ushindwe mwenyewe
Vitabu vya kila aina
Agnes Mwandiko anavyoitangaza Tanzania
No comments:
Post a Comment