Bi Hadija Omar Kopa akipokea Euro kama pongezi kwa kazi anayoifanya ukumbini hapo.watu walifurahi sana na
kucheza pamoja nae.kiukweli wengi walikubali kwamba Hadija Kopa anastahili kuitwa Malkia.
.Malkia wa mipasho akiwa na mashabiki wake ili kumpa sapoti ukumbini hapo.
kwa mapicha kibao tembelea htt://magangaone.blogspot.com
No comments:
Post a Comment