ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, December 8, 2011

MAANDAMANO YA MAGARI YA ZIMAMOTO

 Maandamano ya magari ya zimamoto yanayofanywa kila mwaka nyakati kama hizi za mwezi December katika kusherehekea sikukuu ya Christmas hua wanapita mitaani wakiwa na father Christmas na kugawa peremende kwa watoto wa mkazi hayo wapitayo,pichani ni magari ya zimamoto kama yalivyokutwa na kamera ya VIJIMAMBO,Silver Spring,Maryland,Nchini Marekani.
 Gari la zimamoto lililokua na Father Christmas likipita mitaani
 Father Christmas akipungia watoto
Juu na chini ni  Magari mengine ya zimamoto yaliyokua kwenye msafara huo.

1 comment:

Anonymous said...

YAANI WANAVYOSHEREHEKEA CHRISMAS WENZETU WANAPENDEZA KULIKO SHEREHE ZETU ZA UHURU WA MIAKA 50 YA HUHURU. HIVI NI MAGARI MANGAPI YA ZIMAMOTO YAMEUNGANA NA WATANZANIA KUSHEREHEKEA MKESHA WA MIAKA 50 YA UHURU?