Advertisements

Monday, December 26, 2011

MAENDELEO YA MSIBA WA STEINA MREMA

Steina Mrema Enzi ya Uhai Wake

  
Watanzania wenzangu hali bado sio nzuri, bado michango inasuasua na wazazi wa Steina Mrema, hawajamuona zaidi ya miaka 13, Watanzania wenzangu kifo hakina mmoja leo Steina katangulia kesho naweza kua mimi,wewe, ndugu wa karibu, hakuna anayejua, siri ya kifo  anayejua ni Muumba, naomba tuweke Utanzania wetu mbele ili tuweze kufanikisha na hatimae kuwezesha kuusafirisha mwili wa marehemu nyumbani Tanzania kwenye nyumba yake ya milele.


michango iliyopatikana mpaka sasa kwa wakazi wa DMV ni $ 5,000. kwa wakaazi wa PA na DE ni $4,000. na gharama za funeral home na kusafirisha mwili ni $15,000,bado zinahitajika $6,000. ndugu zetu, chochote ulichonacho kitasaidia kujaza kibaba.


Kwa Wakaazi wa DMV, tunaombwa tufike  College park kusaidia kuchangia hata kama umeishatoa karibu tena kwani kutoa ni moyo si utajiri.


9005 LOCUST SPRING DR,
COLLEGE PARK, MD 20740.

Kwa Watanzania waliombali na MD,PA, kuna A/C katika Bank ya Wells fargo, kwa ajili ya kusaidia kuchangia 
Maelezo ya account ni: Elimchili Lyaro, routing number 055003201 account number 7015276038 ."

msiba huu ni wetu sote, UMOJA, MSHIKAMANO NA USHIRIKIANO WETU, ndio utakaowezesha na hatimae kufanikisha kuusafirisha mwili wa Ndugu yetu, Jamaa Yetu, Mtanzania mwenzetu na rafiki yetu mkubwa, mpendwa Steina Mrema nyumbani Tanzania kwa mazishi, SISI TULIMPENDA STEINA LAKINI MWENYEZI AMEMPENDA ZAIDI, JINA LAKE LIHIMIDIWE.


Kwa wakaazi wa PA msiba upo:

ADDRESS
626 BRIDGE STREET,
COLLEGE, PA 19426.


KWA MAELEZO ZAIDI NA MAELEKEZO TAFADHALI PIGA SIMU:
STELLA NDOSSI- 302 377 3214
EDNA IWEKAMA-484 334 5607
ELIMCHILE LYARO-610 331 9164
VICTOR RWEHUMBIZA-302 740 2844
RASHIDI MKAKILE -240-938-3177
STEPHANO MHINA - 240-550-4962
GEORGE MWASALWIBA- 240-533-6941
EMMANUEL NNKO - 202-460-8638

No comments: