Advertisements

Monday, December 26, 2011

ATM YAVUNJWA

ATM iliyopo kwenye Bank ya Capital One kwenye makutano ya University Blvd na New Hampshire maeneo ya Langley Park, Takoma, Maryland ilikutwa imevunjwa Jumapili ya siku ya Christamas December 25, 2011 wachunguzi wa mambo wanadhani wezi hao walikua wanatafuta  pesa ya sikukuu lakini mpaka kamera ya Vijimambo inaondoka kwenye tukio ilikua haijajulikana ni nani aliyefanya wizi huo 

No comments: