Keki ya Birthday yenye kuonyesha namba 52 ikiwa ni umri mpya wa Mama Asia Idarous Khamsini a.k.a Mama wa Mitindo.
Mama wa Mitindo Asia Idarous Khamsini akifurahia siku yake hiyo.
Haya tuimbe ume wimbo wetu maarufu wa Birthday..
Aunty Sharifa Kalala akimlisha keki Da' Asia Idarous Khamsini.
Mdau akilishwa keki na mama Asia Idarous Khamsini
Mwanamitindo Manju akilishwa Keki
Mwanamitindo Daxx Hans akipata kipande chake
Kwa picha zaidi za Birthday Bofya Hapa
No comments:
Post a Comment