ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, December 15, 2011

MWITA NA MANKA WAMEREMETA

Mwita Chacha akiwa na mama mwenye nyumba wake,Manka kwenye harusi yao iliyofanyikia Dar Es Salaam,Tanzania Jumamosi ya December 10, 2011.

1 comment:

Anonymous said...

Hongera Mr & Mrs Mwita Chacha na Mungu awabariki katika ndoa yenu. From The Mwombelas.