
Watanzania waishio Canada wakisherehekea miaka 50 ya Uhuru Tanzania Bara Jiji Toronto.

Watanzania wakijumuika pamoja katika kusherehekea mika 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara sherehe zilizofanyikia Toronto, Canada.

Watanzania wa Cananda wakiwa na furaha walipojumuika pamoja katika kusherehekea miaka 50 ya Uhuru Tanzania Bara.

Watanzania wakijumuika pamoja katika kusherehekea Miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara ndani ya Jiji la Toronto.

Watanzania waishio Canada wakicheza mduara katika kusherehekea miaka 50 ya Uhuru.

Ni furaha ni kucheza katika kusherehekea miaka 50 ya Uhuru Tanzania Bara kulikofanywa na Watanzania waishio Canada,sherehe zilifanyikia Jiji la Toronto,Canada.

Wadau wakipapata picha ya pamoja.

Ni furaha na kwenda mbele kama uoanavyo mwenyewe katika picha hii Watanzania waishio Canada wakisherehekea Miaka 50 ya Uhuru Tanzania Bara.

Wadau wakiduarika.

Wadau wakipata picha ya kumbu kumbu katika kusherehekea miaka 50 ya Uhuru Tanzania Bara.(picha na mdau Rami Hamisi)
Kwa picha zaid Bofya Read More
























2 comments:
mi ndo sikualikwa tu?
MPENDEZA KWELI ILA MSISAHAU KUWEKEZA NYUMBANI TZ JAMANI
Post a Comment