Ally Dahally akionyesha alivyoongezea ubunifu wa Pikipiki miguu mitatu (Bajaj) ili kuwezesha kutoa huduma kusafirisha wagonjwa siku Waziri Mkuu alipotembelea Banda la Wizara ya Viwanda na Biashara kwenye maonyesho ya miaka 50 ya UHURU Jijini Dar Es Salaam(Picha kwa hisani ya Michuzi)
No comments:
Post a Comment