ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, December 11, 2011

SHEREHE ZA MIAKA 50 YA UHURU COPENHAGEN,DK

Kweli miaka 50 si mchezo na kuwepo ni historia kama aonekanavyo Mtanzania huyu wa Denmark akiwa amependeza na nguo yake yenye rangi za bendera
Kikundi cha ngoma chenye makaazi yao Copenhagen Nchini Denmark wakicheza ngoma ya utamaduni wa usukumani kwenye sherehe za Miaka 50 ya UHURU wa Tanzania zilizofanyikia Ukumbi wa Panum Institute,kikundi hiki kinamchanganyiko wa Wadenish waliowahi kuishi Mwanza,Tanzania miaka ya nyuma na Watanzania wanaoishi Denmark
Wacheza show kutoka Jamhuri ya kidemorasia ya Congo wakipagawisha kwenye sherehe hizo za miaka 50 ya UHURU.
Keki ya Miaka 50 ya UHURU
Mcheza Ngoma za kabila la Kisukuma akicheza na nyoka.
Mchanganyiko wa wacheza ngoma ya kisukuma wa kikundi cha Wakaazi wa Copenhagen,Denmark wakipagawisha Watanzania walijumuika pamoja kwenye sherehe za miaka 50 ya UHURU mjini Copenhagen,Demark.
Watanzania wa Denmark waliojumuika pamoja kwenye sherehe za miaka 50 ya UHURU zilizofanyika Copenhagen,Denmark siku ya Ijumaa 9 December,2011.
Kiukundi cha ngoma ya utamaduni kikitumbuiza kwenye sherehe hizo za miaka 50 ya UHURU mjini Copenhagen,Denmark..

No comments: