Miriam Odemba(kulia) akipiga picha ya pamoja na Rosemary Mlekwa walipojumuika na watanzania wenzao katika sherehe za miaka 50 ya UHURU zilizofanyia Jumamosi December 10,2011,New York,NY.
Sunday Shomari aliyekua mfanyakazi wa Radio One zamani ambaye sasa ni mfanyakazi wa Voice Of America(VOA) Washington,DC akipata Ukodak Moment na Mlimbwende Miriam Odemba katika sherehe za miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania,New York,NY
Juu na chini ni Watoto wa Mzee Temba wakionyesha show kabambe ya kuche sebene la Zouk
Miriam Lulu Chemmoss ambae mama yake ni Mtanzania na baba yake ni mmasai wa Kenya akipagawisha kwenye sherehe za Miaka 50 ya UHURU wa Tanzania,New York hapa akiwa na Bendi yake.
Watanzania wa New York wakipata Ukodak moment kwenye sanamu ya Malcolm X
Juu na chini wadau wa New York wakiburudika na kushindana kucheza SEBENE
Walter Minja(shoto) wa Powering Potential akipata Ukodak Moment na mama wa mitindo Asya Idarous Khamsin wa Fabak Fashions(kati) pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Houston Khamsin aka Fifty katika sherehe za miaka 50 ya Uhuru,New York.
Wadau wa New York wakipata picha ya pamoja.
Nakupenda Tanzania ndivyo mapenzai ya hawa watoto yanavyosema kama wanavyoonekana hapa kwenye picha hii wakiwa na mzazi wao katika sherehe za miaka 50 ya UHURU,NYC
No comments:
Post a Comment