Familia ya Kiegemwe Jabil aka Mudrika na Herry Kiegemwe wanatoa shukrani za dhati kwa wote waliojumuika nao katika kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na mpendwa Baba yao.
Tunashukuru sana kwa yote mliotufanyia kusema ukweli tumefarijika sana sana na hatuna cha kuwalipa kitakcholingana na mengi mliyoyafanya juu yetu kwa kipindi hiki kigumu kwetu zaidi ya kuwaombea kwa Mwenyezi Mungu awazidishie mara elfu
Asanteni
No comments:
Post a Comment