
Mama mitindo wa Tanzania Asya Idarous Khamsin akiwa na Models kutoka kila pembe ya Marekani,kusherehekea miaka 50 ya UHURU New York City na mitindo yake ya UHURU 50 Collection,Fika mimi,wewe na yule kushuhudia kidumbwe dumbwe cha miaka 50 ya UHURU na Asya Idarous Khamsin
KARIBUNI
No comments:
Post a Comment