CHEKA UNENE NA MDAU WA VIJAMAMBO
mwalimu 1 aliwaambia wanafunzi wake waandike insha ya maneno 100 kuhusu vita wakiwa wanajeshi kutoka kuanza hadi vita kuisha, katika kusahihisha mwalimu alikutana na insha moja ya mwanafunzi aliyeandika ''yalaaah mamaaa nakufaaaaa!'' insha imeisha mwalimu akamuuliza, '' vipi mbona umeandika hivyo tena insha fupi''? Mwanafunzi akajibu ''yaani ile naingia vitani tu nikapigwa risasi kwa hivyo sikumaliza vita'' hahaha
No comments:
Post a Comment