Advertisements

Monday, January 30, 2012

HALI BADO SI SHWARI HOSPITALI YA RUFAA MBEYA NI MADAKTARI WATANO TU WAFIKA KAZINI KATI YA 75

Hospitali ya rufaa mbeya

Akiongea na waandishi wa habari mkurugenzi wa Hospitali ya Rufaa Mbeya Dokta Eliuta Sanker amesema mpaka sasa ni madaktari watano 5 tu walioripoti kazini hapo kati ya madaktari 75 waliogoma
Baadhi ya wagonjwa wakiendelea kuandikiwa vyeti vya kuwaona madaktari
Baadhi ya madaktari wakisoma matangazo ya kutaka warejee kazini
Madaktari wakiwa wanatoka katika hospitali ya rufaa mbeya baada ya kusaini kitabu cha mahudhurio yakuwa wamefika kazini lakini huduma hawatoi
Picha kwa hisani ya Mbeya Yetu Blog

No comments: