
Keki ya siku ya kuzaliwa ya mtoto Jerome
Mtoto Jerome akizima mshumaa kwenye sherehe yake ya kuzaliwa iliyofanyikia Rebounderz, Sterling, Virginia.
Mtoto Jerome akilishwa Keki na Mama yake Mercy huku kaka yake Peter(kulia) akishuhudia

Mtoto Jerome akiwa na Baba yake Phanuel.
Mtoto Jerome (t-shirt ya blue) akiambiwa jambo na Mama yake huhu kaka yake Peter akipozi kwa picha
No comments:
Post a Comment