ANGALIA LIVE NEWS

Friday, January 6, 2012

Majambazi wavamia ndege ya dhahabu

Jambazi aliyeuawa katika patashika ya wizi wa dhahabu akiwa amelazwa katika gari la polisi. (Na Mpigapicha Maalumu).

2 comments:

Anonymous said...

Dhahabu zinaibwa na wazungu zinapelekwa Canada.mbona hawapigi mapanga.mtanzania mwenzao anachukuwa Mali Yake wanamuhuwa.Aibu sana.nchi inaibiwa watu wako kimya viongozi wanaiba mnawaacha huyu masikini kauwawa.jiulizeni hiyo ndege ya dhahabu ilikuwa inapeleka wapi dhahabu.je watanzania wanafaidika nini na hizo dhahabu.Mimi ntalipuwa kabisa ndege zinazopeleka dhahabu nje kwa wizi.

Anonymous said...

R.I.p