ANGALIA LIVE NEWS

Friday, January 6, 2012

KALAMA NYILAWILA AJIFUA KUMKABILI FRANSIC CHEKA

Bernald Lumbila Kushoto akifanya mazoezi ya pamboja na bondia Kalama Nyilawila Nyilawila anajiandaa na mpambano wake dhidi ya Fransic Cheka januar 28
Kalama Nyilawila akijifua katika GYM ya Sinza Makaburi
Bondia Kalama Nyilawila akijifua vikali
Msimamizi wa  Mchezo wa ngumi katika kambi iliyopo sinza 
makaburini, Bernald Lumbila (kushoto) akimwelekezai bondia Kalama Nyilawila jinsi ya kupiga ngumi katika mbavu Dar es saam  Nyilawila anajiandaa na mpambano wake dhidi ya Fransic Cheka januar 28


No comments: