ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, January 19, 2012

Makamuwa Rais Dkt. Bilal akutana na Ujumbe wa Abort Fund Ikulu Dar na Sheh Mkuu Amtembelea Waziri Mkuu

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na ujumbe kutoka Abort Fund, Andy Wilson (katikati) na Dkt. Ayub Magimba, wakati walipomtembelea ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo Januari 18, 2012, kwa ajili ya mazungumzo. 
Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Shaban Bin Simba Ofisini kwake jijini Dar es Salaam, leo Januari 18, 2012. Katikati ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi. 
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments: