ANGALIA LIVE NEWS

Monday, January 9, 2012

MUUZA SARE

Muuzaji wa sare za shule (kulia) akijadiliana bei na wazazi mbalimbali huku mmoja wa watoto akijaribu moja ya shati ili kujua kama linamtosha kama walivyokutwa katika Soko la Manzese, Dar es Salaam jana. Kumekuwa na pilikapilika za wazazi kununua sare hizo kutokana na shule kufunguliwa nchini kote leo. (Picha na Mohamed Mambo).

No comments: