Advertisements

Monday, January 30, 2012

TUFIKIE HATUA TUTOE SUPPORT KWA VYA KWETU

Na Matungwa Jackson
Mimi sioni ni kwa nini wanaojiita wadau wanashindwa kusuport vipaji Vya wanamuziki wetu wa bongo badala yake wanasupport nyimbo ambazo hazina hata maana na ndio zina heat pamoja zinakuwa zimejaa matusi matupu.

wadau sikilizeni ngoma hii alafu mniambie ni kwa nini na sisi hatupewi nafasi ya kuwa juu kama kama wakali wachache wengine
Ngoma hii inaitwa simbisimbisi na lugha zilizotumika ni kihaya,kijita na kisukuma
producer ni villy
muziki huu unaitwa kandamoja Root ni muziki mpya kabisa.
support kandamoja root suport jahson na susu
Jahson & Susu ft Mark Senzo &Delilah-Simbisimbisi.wmaJahson & Susu ft Mark Senzo &Delilah-Simbisimbisi.wma
3945K   Download  

No comments: