Advertisements

Monday, January 30, 2012

WADHAMINI SHEREHE YA VIJIMAMBO KUTIMIZA MIAKA 2,MARCH 31,2012


Blog yako ya VIJIMAMBO inapenda kuwaataarifu wote wanaopenda kuidhamini kwenye sherehe ya kutimiza miaka 2 itakazofanyika Jumamosi ya March 31,2012 MIRAGE HALL.

1401 University Blvd,
Hyattsville,MD 20783

Wadhamini wote watakaochangia watapata nafasi za kutangaza biashara au kazi zao siku ya sherehe.

Wadhamini wote Ndani na Nje ya Marekani wanakaribishwa.

VIWANGO VYA UDHAMINI

$200- Kupata meza kutangaza Biashara au kazi yako.

$300-Kupata Meza kutangaza Biashara au kazi yako na kutangaza bure kwenye VIJIMAMBO kwa mwaka mmoja.

$400 na kuendelea-kupata meza,kutangaza kwenye VIJIMAMBO bure mwaka mmoja na kuapta nafasi ya kuelezea Biashara au kazi yako siku ya sherehe.

Kwa maelezo zaidi wasiliana na VIJIMAMBO 301 661 6696 au Barua pepe djlukejoe@gmail.com

WOTE MNAKARIBISHWA
--------------------------------------------------------------------------
Logo

Wadhamini ambao tayari wamejitokeza na ambao hawajatuma Logo zao naomba mnitumie haraka iwezekanavyo ilituweke kwenye flyer

Viongozi wa Jumuiya

Pia Vijimambo inaomba Viongozi wa Jumuiya za Watanzania watume Email add zao kwenye barua pepe djlukejoe@gmail.com kwa ajili ya kuwatumia barua ya mwaliko, Blog yako inathamini mchango mkubwa mnaofanya kwenye Jumuiya zenu ndio maana inapendelea kuwepo kwenu kwenye sherehe za miaka 2 ya Vijimambo.

No comments: