ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, February 11, 2012

BALOZI LIBERATA MULAMULA ATEMBELEA BUNGE DODOMA .

Katibu Mtendaji wa jumuiya ya nchi za Maziwa Makuu aliyemaliza muda wake Balozi Liberata Mulamula (kulia) akisalimiana na kubadilishana mawazo na Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda Bungeni Dodoma leo.
Balozi Mulamula (kulia) akisalimiana na Katibu wa Bunge Dkt Thomas Kashililah (kushoto) leo katika viwanja vya Bunge Dodoma leo.
Spika Makinda akifurahia jambo na Mbunge wa Simanjoro Mhe. Ole Sendeka (kati) na mdau wa michezo Wakili Imani Madega.
Balozi Mulamula (kulia) akijadili jambo na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama Mhe. Edward Lowassa (Mb) mjini Dodoma leo. Balozi Mulamula alifika Dodoma kuhudhuria kikao cha Kamati hiyo.
Balozi Mulamula akiwa na afisa wa Bunge Bw. Prosper Minja mara kabla ya kuanza kwa kiako cha Kamati ya Mambo ya Nje Ulinzi na Usalama.

No comments: