ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, February 26, 2012

HAPA NA PALE KATIKA PICHA, NEW YORK.

 Afisa Ubalozi Edward Masanja akiwa kwenye Udj kwenye sherehe za kumuaga Mhe. Sefue zilizofanyikia Ofisi za Ubalozi wa Kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa New York.
 Dj Mayor Mlima (shoto)nae akielekea kumsaidia Afisa Ubalozi Edward Masanja
Mpwa (kulia) akipata picha ya pamoja na Mhe. Balozi Mwanaidi Maajar (kushoto) na Mhe. Balozi Ombeni Sefue (wa pili toka kushoto).
 Ebra NY (kushoto) akipata picha ya pamoja na kiongozi wa Jumuiya ya Watanzania, Houston, Texas.
 Ebra NY (kulia) akipiga picha ya pamoja na mmoja wa wafanyakazi wa Ubalozi wa kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa, New York.
Ebra NY (kulia) akipiga picha na rafiki yake wa siku nyingi.

No comments: