ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, February 12, 2012

Mahojiano na Prof. Ibrahim Lipumba (Pt I) na Mubelwa Bandio wa Changamoto yetu


Sehemu ya mahojiano na mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) ambaye pia alikuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (1995, 2000, 2005, 2010) Amezungumzia kilichomleta hapa nchini Marekani, hali ya siasa ndani ya CUF, kwanini chama chake kimepoteza mguso kwa wananchi, siasa za nchi na hata kujibu maswali toka kwa wasomaji mbalimbali waliouliza kupitia mtandao wa Facebok.

No comments: