Dj D UG kutoka Uganda akipiga picha na mama mwenye nyumba wake kwenye kabalee la malavidavi lililofanyika Jumamosi Feb 11, 2012 kwenye kiota cha Seska Lounge kilichopo Rockville, Maryland.
Kushoto ni Dj Dongar (Mkenya) akipata Ukodak moment na Dj D UG (Mganda)
Dj Dongar (Kulia) akipata Ukodak moment na mdau aliyekuwepo Jumamosi Feb 11, 2012 kwenye kabalee la malavidavi lililofanyika kwenye kiota cha Seska Lounge kilichopo Rockville, Maryland.
Kushoto ni Ben akipata ukodak moment na Dj Dongar
Wadau wakiuka nyoka kwenye Kabalee la malavidavi lililofanyikia kwenye kioata cha Seska Lounge kilichopo Rockville, Maryland.
Juu na chini ni Dj Kay (Mtanzania) akipata Ukodak moment na Dj Dongar
Dj D UG akiwa katika ukodak moment na wadau kutoka Uganda waliokuwepo kwenye kiota hicho.
No comments:
Post a Comment