ANGALIA LIVE NEWS
Thursday, February 16, 2012
Mahojiano na Prof. Ibrahim Lipumba (Pt III)
Sehemu ya tatu na ya mwisho ya mahojiano na mwenyekiti wa taifa wa chama cha Civic United Front (CUF) ambaye pia alikuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (1995, 2000, 2005, 2010)
Katika sehemu hii, anajibu swali iwapo atagombea urais mwaka 2015, anazungumzia kuhusu kitabu anachoandika kuhusu hali ya uchumi Tanzania, namna ambavyo serikali inawatumia wasomi kama yeye, msimamo wa chama cha CUF kuhusu Katiba ya Tanzania na mapungufu yake, maandalizi ya CUF kwa uchaguzi wa 2015, anajibu swali la kwanini wasiachane na urais na kugombea ubunge ili kuleta upinzani bungeni, nafasi ya mwanamke ndani ya CUF, nafasi ya upinzani kuiodoa CCM madarakani 2015 na NAMNA YA KUIBADILI TANZANIA.
Karibu umsikilize
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment