ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, February 5, 2012

MFALME WA KULAMBISHA AIACHA DMV NA ZIGO LA UCHOVU

 Mzee Yusuf,mfalme wa mipasho akipagawisha wakazi wa DMV waliojitokeza kwa wingi Jana kwenye show yake ya kwanza DMV na ya aina yake iliyofanyikia Rockville, Maryland. 
 Mfalme wa mipasho akipagawisha ukumbini hapo.
 Bar iliyokua chini ya Libe na Evans ikiwa na wadau waliokua wakijipatia huduma mbali mbali za vinywaji.
 Wadau wa DMV wakipata picha ya pamoja.
 Wadau na mashabiki wa Mzee Yusuf kutoka New York.
 Mashabiki wa DMV na Philadelphia wakiduarika.
 Maofisa wa Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani wakiwa kwenye show ya Mzee Yusuf.
 Kaimu Balozi, Mh. Lilian Munanka akifuatilia Taarab ya Mzee Yusuf.
 Maofisa na Wafanyakazi wa Ubalozi wakiwa kwenye show ya Mzee Yusuf.
 Mashabiki wa Mzee Yusuf wakilishambulia jukwaa.
 Mashabiki DMV, New York na North Carolina wakiwa ndani ya Ukumbi.
 Mashabiki wa Taarabu wakipagawa
 Mashabiki wa Mzee Yusuf wakipagaika na Taarab.
Picha kwa hisani ya Ebra NY.
Kwa picha zaidi Bofya Read More

3 comments:

Anonymous said...

MZEE YUSUPH WAS THE BEST ONE OUT OF ALL THE STARS THAT CAME FROM TANZANIA

Anonymous said...

sure he z....i luv the show

Anonymous said...

mzee Yusuf amefunikaaaaaaaaaa kwa kwenda mbele hzo ndizo tunazotaka waswahili wa bara.Watu walipendeza sana.