ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, February 5, 2012

PICHA ILIYOCHUKUA TUZO KWENYE ALAMBA..HAAAM

Ni Missy Temeke (gauni kijani) akiwa na Editha Lyimo wakipagawa na Taarab ya mfalme Yusuf aliyepagawisha Jumamosi Feb 4, 2012 Rockville MD .

5 comments:

Anonymous said...

Warembo mmependeza saaaana, mashalah.
Lakini Dj Luke acha ubaguzi wa picha...unaweka watu wako hao hao kiila siku kama wengine hawapo. Sio vizuri cha mara kila mtu anatamani kupigwa hizo picha yakhe. Asante kwa kujirekebisah

Anonymous said...

Kizuri chajiuza KIBAYA chajitembeza.Dj do ur GOOD work.

Anonymous said...

Missy-Temeke, Looking STUNNING .Wallahi denda linanibwagika!

Anonymous said...

Kunawengine wanasema hawataki kuonekana kwenye mitandao so naona wanaheshimu request za watu hao wengine.lkn kazi nzuri tulienjoy sana mambo ya mzee yusuf superrrrrr.

Anonymous said...

Miss Temeke rocks always on point umependeza sana fashionista wetu.