Ni Missy Temeke (gauni kijani) akiwa na Editha Lyimo wakipagawa na Taarab ya mfalme Yusuf aliyepagawisha Jumamosi Feb 4, 2012 Rockville MD .
5 comments:
Anonymous
said...
Warembo mmependeza saaaana, mashalah. Lakini Dj Luke acha ubaguzi wa picha...unaweka watu wako hao hao kiila siku kama wengine hawapo. Sio vizuri cha mara kila mtu anatamani kupigwa hizo picha yakhe. Asante kwa kujirekebisah
Kunawengine wanasema hawataki kuonekana kwenye mitandao so naona wanaheshimu request za watu hao wengine.lkn kazi nzuri tulienjoy sana mambo ya mzee yusuf superrrrrr.
5 comments:
Warembo mmependeza saaaana, mashalah.
Lakini Dj Luke acha ubaguzi wa picha...unaweka watu wako hao hao kiila siku kama wengine hawapo. Sio vizuri cha mara kila mtu anatamani kupigwa hizo picha yakhe. Asante kwa kujirekebisah
Kizuri chajiuza KIBAYA chajitembeza.Dj do ur GOOD work.
Missy-Temeke, Looking STUNNING .Wallahi denda linanibwagika!
Kunawengine wanasema hawataki kuonekana kwenye mitandao so naona wanaheshimu request za watu hao wengine.lkn kazi nzuri tulienjoy sana mambo ya mzee yusuf superrrrrr.
Miss Temeke rocks always on point umependeza sana fashionista wetu.
Post a Comment