ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, February 4, 2012

MFALME WA KULAMBISHA ATINGA DMV TAYARI KWA MAKAMUZI

Mzee Yusuf, Mfalme wa mipasho, Dkt wa mapenzi, mtaalam wa kulambisha akiwa Kijiji cha Swahili, Beltsville. Maryland Ijumaa February 3, 2012 mara tu alopowasili tayari kwa makamuzi ya nguvu yatakayofanyi leo Rockville, Maryland kwenye kiota cha RENDEZVOUS.
Mfalme wa mipasho (kushoto) akiwa na mashabiki wake wa DMV Dedi Luba (wapili toka shoto) poromota wake wa New York, Tahir (wapili Toka kulia) na Cherles Kaiza.
Mashabiki waliokuwepo Kijiji cha Swahili wakifurahi kumuona Mfalme wao wa kulambisha
 Dedi Luba (shoto) akiwa na poromota wa Mfalme kutoka New York, Tahir.
 Shabiki namba sifuri wa mipasho asiyekua na mpinzani, Ebra NY (shoto) kutoka Manhattan, New York akiwa na shabiki mwinge asiyekua na namba wa DMV, Charles Kaiza, wakipata picha ya pamoja.
Mashabiki wengine wa mipasho wakifurahi jambo nao wakiwa Kijiji cha Swahili wakipata menyu.
Mashabiki wakijumuika pamoja kwenye Kijiji cha Swahili kumlaki mfalme wa Mipasho, mzee wa kulambisha, Dkt wa mapenzi, Mzee Yusuf.
ALAMBA, ALAMBA HAAM..
TICKET ZA $20 NI KAMA ZIMEISHA WALIBAKI NA TKT NI

DJ LUKE JOE- 301 661 6696 (amebakiza chache)
MARCO MBULLU-571 426 7124 (amemaliza tkt zake)
SEIF MOHAMED- 301 537 3877 (amemaliza tkt zake)
SALEH MOHAMMED-202 290 5227 (amemaliza tkt zake)
LATIFA MZESE-240 603 7353 (amebakiza chache)
ABOU SHATRY-301 728 3977 (amebakiza chache)
MOZA-240 432 8216 (amebakiza chache)
KENTE-240 938 2452 (amemaliza tkt zake)
DJ SEIF KADRIA-202 286 6595 (amemaliza tkt zake)

MZEE YUSUF ATAUZA CDS ZAKE KWA BEI YA $5

No comments: