ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, February 12, 2012

MZEE YUSUF ALAMBISHA HOUSTON KWA ZAMU


Dkt wa mapenzi akilambisha mashabiki wa Houston, Texas kwa zamu kwenye show kabambe iliyofanyika Jumamosi Feb 11, 2012 kwenye club ya Safari.
Mmoja ya shabiki wa mipasho akikaa mkao wa kulambishwa na Dkt wa mapenzi, Mzee Yusuf alipofanya show Jumamosi Feb 11, 2012 Houston, Texas.
Ilikua Balaa mashabiki wa Houston, wakipagawa na Dkt wa Mapenzi, Mfalme wa mipasho alipofanya show ya nguvu kwenye Club ya Safari Houston, Texas.
Mashabiki wakipagawa na mipasho ya Mzee Yusuf kwenye Club ya Safari iliyofanyika Jumamosi Feb 11, 2012 Houston, Texas.
Shabiki akipagawa na Mfalme na akilambishwa kwenye show kabambe iliyofanyikia Club Safari, Houston, Texas.
Shabiki akipagawa na wimbo wa Alamba..Haaaam wa Mfalme wa mipasho alipofanya show ya nguvu kwenye Club Safari Jumamosi Feb 11, 2012 Houston, Texas.
Mzee Yusuf akilambisha mashabiki waliofurika kwenye Club ya safari Jumamosi Feb 11, 2012 Houston, Texas.
Mashabiki wa mipasho wakipagawika na Mzee Yusuf alipofanya show ya nguvu kwenye Club Safari, Houston, Texas.
Mashabiki wapiata Ukodak moment kwenye show ya mfalme wa mipisho iliyofanyika Houston, Texas Jumamosi Feb 11, 2012.
Mashabiki wakiduarika na mfalme wa mipasho alipopagawisha Jumamosi Feb 11, 2012 kwenye Club Safari iliyopo Houston, Texas.
Kwa picha zaidi Bofya Read More

(Picha zote kwa hisani ya http://mwana-dikala.blogspot.com)

13 comments:

Anonymous said...

bado sijaona kabisa ya DMV ilikuwa kiboko yao mzee Luke.

Anonymous said...

Why mnaweka picha without asking people if thy wanna b on the blog?...thats disrespectfull..people went there to have fun nasio wabandikwe kwenye hizi blog zenu tabia mbaya..

Anonymous said...

Wewe mdau wa pili wakati unapigwa picha ulipozi kabisaa na ku-smail. Wewe ulifikiri yule mpiga picha ni wa TMZ? Si ungeuliza ukaambiwa picha hizi zinakwenda wapi? Ungemzuia mpiga picha asikupige picha wala kuweka image yako kwenye blog, angeelewa na anafanya hivyo kila wakati.Hata sasa hivi hujachelewa, ukimwambia aiondoe atafanya hivyo mara moja. Unapotoa mapozi na meno nje halafu unalalamika pia ni tabia mbaya.

Anonymous said...

hahahah....alidhani picha itawekwa kwenye Ebony magazine smile of the month and may be ata-win bingo ya commercial ya colgate!

Anonymous said...

Yah ..jamaa kama hawakuchangamka ama picha zina mislead!

Anonymous said...

Mpashe kabisa huyo mdau wa pili!

Anonymous said...

Wewe no 2 nikati ya wale mkitoka hamuagi waume/wake zenu, mnakwenda kufanya mautumbo yenu mkiwa kwenye starehe, mnafikiri hakuna media kwenye starehe? Acheni ushamba. Nini kazi ya media?

Anonymous said...

Na hio tabia za mwanamziki kushika matako wanawake ambao hana mahusiano nao kimapenzi, mumueleze kuwa hapa USA ni kosa (anajifanya governor wa zamani wa Calfornia). Anaweza kushitakiwa.

Anonymous said...

we mdau uliosema kuhusu pic na mwanamziki kuhave fun ina hu? mbona new york or dmv hawaja lalamika anything about it?kwanini mnapenda kuweka vitu vidogo big deal? it not even that serious.kuna vitu vikubwa vya kumind lakini sio hivyo<hebu tube raha dj luke bwana....alambaaa

Anonymous said...

Dem si kajipeleka Mwenyewe sio kosa la mwanamuziki, dem anaonekana Ana enjoy ki ukwelikweli

Anonymous said...

upuuzi mtupu!!!!

Anonymous said...

kila kinachofanyika pale hakina comment, pahali penyewe si unapaona hata mkeo akishikwa paja ww uuchune tu, maana ww ndo ulompeleka na ticket umekata, ungekuwa htaki ungempiga na hijab vipodozi vile akakutulia ww usiku, ww unamuona mtu anakwanga halafu unashangaa mchawi

Anonymous said...

ww unayemuhukumu mwanamziki kuwashika wadada unakosea, wamejipeleka wenyewe kama huyo alayembong'lea hapo anataka nn kama si kushikwa. Wenzie mbona wapo kule wanacheza kwa raha zao yeye kaona haitoshi kaenda pale kuinama mwachwe mwanamziki ajipe raha