Ray J akipipta kwenye ukaguzi katika uwanja wa kimataifa wa Los Angeles alipokua akielekea kwenye mzishi ya Whitney Hoston, Ray J aliongozana na dada yake Brandy na mama yake Sonja (hawapo pichani)
Brandy akipita kwenye ukaguzi katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Los Angeles alipokua akielekea kwenye mazishi ya Whitney Houston akiwa pamoja na mdogo wake Ray J (Boy Friend wa mwisho wa Whitney Houston) na mama yake Sonja.
Sonja Norwood, mama yao Brandy na Ray J akipiata kwenye ukaguzi uwanja wa ndege wa kimataifa wa Los Angeles alipokuwa na na wanae wakielekea kwenye mazishi ya Whitney Houston.
(Picha kwa hisani ya Bauer Griffin)
No comments:
Post a Comment