Wavuvi wakijaribu kumtoa Papa nje ya bahari kwenye bandari ya Karachi, Nchini Pakistan.
Winchi likimnyanyua Papa huyo toka majini .
Umati wa watu waloifurika kushuhudia Samaki huyo mkubwa baada ya kutolewa majini katika bandari ya Karachi, Nchini Pakistani.

No comments:
Post a Comment