ANGALIA LIVE NEWS

Monday, February 20, 2012

MZEE YUSUF AFANYA SHOW YA NGUVU, SEATTLE, WA

Mzee Yusuf akijiandaa kufanya show iliyowakonga nyoyo mashabiki wa Seattle, Washington State Jumamosi Feb 18, 2012.
Mfalme (kati) akiwa pagawisha mashabiki wa Seattle, WA.
Mashabiki wa Seattle wakiduarika na Dkt wa mapenzi, Mzee Yusuf kwenye show aliyofanya Jumamosi Feb 18, 2012.
 
Mzee Yusuf (kulia) akipata picha ya pamoja na Mdau.
Mfalme (wapoli toka kushoto) akipiga picha ya pamoja na mashabiki wa Seattle.
Mashabiki wa Seattle wakipagawa na show ya Mfalme aliyofanya mjini humo Jumamosi Feb 18, 2012.
 Mashabi wakipata picha ya pamoja.
 Mashabiki wakidualika kwenye show ya Mzee Yusuf iliyofanyika Seattle, Washington State Jumamosi Feb 18, 2012.
 Ilikua ni burudani ndani ya Seattle, mashabiki wakipagawa na Taarab za Mzee Yusuf.
 Mfalme akiendelea kupagawisha mashabiki wake Seattle, WA kwenye show yake Jumamosi Feb 18, 2012.
 Mashabiki wa Mzee Yusuf wakiwa katika Mduara.
 Mashabiki wakiendelea kuduarika kwenye show ya Taarabu iliyofanyika Seattle, Washington State.
 Ni furaha kwa kwenda mbele, mashabi wakipata ukodak moment huku wakiendelea kuduarika.
 Mashabiki wa Mzee Yusuf wakipiga picha ya pamoja.
Ilikua ni furaha ndani ya Seattle, Mfalme na mashabiki wakipagawa na show ya taarab iliyofanyika mjini humo Jumamosi Feb 18, 2012.

(Picha kwa hisani ya Haroub Kenwood)

1 comment:

Anonymous said...

Hii ndio Taarabu watu wanakwenda kuenjoy na kujistahi, Taarabu asili yake ni burudadani na sio utovu wa adabu. Seattle people hebu watoeni ushamba hao wenzenu wasichafue jina la taarabu na culture yake. Whats wrong mtu kuenda mahali ukavaa kiheshima na kutulia? kila kitu kina mahala pake. madada wa kitanzania tunajisahau tunatoka wapi na wanaoiga huwa wanafanya mara kumi. hamupendezi kufanya utovu huo sanasana mnajivunjia heshima. big up to Seattle ppl