Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa New York, Dr Asha Migiro (kati) akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania Nchini Marekani na Mexico, Mhe. Mwanaidi Maajar (kulia) na Kaimu Balozi Mhe Lilian Munanka wakiwa kwenye Hafla ya kumuaga Mhe. Balozi Ombeni Sefue iliyofanyikia Millenium UN Plaza Hotel New York , Nchini Marekani. Mhe. Sefue anarudi nyumbani kushika wadhifa mpya wa Katibu Mkuu Kiongozi.
Mhe. Balozi Ombeni Sefue (kushoto) akipiga picha ya pamoja na viongozi wa Jumuiya ya Watanzania Los Angeles, California, Abdul Majid (kulia) na Rabia Dahal.
Mhe. Balozi Ombeni Sefue (wa pili toka kulia) akipiga picha ya pamoja na Mwambata wetu wa Jeshi Nchini Marekani Brigedia Jenerali Maganga (kushoto) pamoja na Mama Maganga wakiwa pamoja na Mke wa Balozi wa kudumu wa Somalia Umoja wa Mataifa Dr. Elmi Ahmed Dualeh.
Kutoka kushoto ni Mhe. Balozi Mwanaidi Maajar, Mhe. Kaimu Balozi Lilian Munanka, Mama Sefue, Naibu Katibu mkuu Umoja wa mataifa, New York, Dr Asha Migiro na Tully Malecela.
Kutoka kushoto ni Given Malecela, Mhe. Balozi Mwanaidi Maajar, Mama Sefue, Naibu Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa, New York, Dr. Asha Migiro.
Kutoka kushoto ni Edward Taji, Love Maganga, Mariam Mkama, Naibu katibu Mkuu Umoja wa Mataifa New York, Dr. Asha Migiro na Mayor Mlima.
Kutoka kushoto ni Mhe. Balozi Ombeni Sefue, Brigedia Jenerali Maganga na Mhe. Balozi Mwanaidi Maajar.
Kutoka kushoto ni Mugendi Andrew Zoka, Love Maganga, Mariam Mkama, Mama Sefue na Afisa Ubalozi, Edward Masanja
Kutoka kushoto ni Dr.Crispin Semakula, Naibu Katibu Mkuu Umoja wa Dr. Asha Migiro na Ndaga Mwakabuta
Wafanyakazi na maafisa wa Balozi za Tanzania, Washington, DC na New York wakipiga picha ya pamoja na Naibu Katibu Mkuu, Mhe. Balozi Ombeni Sefue na Mhe. Balozi Mwanaidi Maajar.
Kutoka kushoto ni Mhe. Balozi Mwanaidi Maajar, Naibu Katibu Mkuu umoja wa Mataifa, Dr. Asha Migiro na Mhe. Balozi Tuvako Manonge ( msaidizi wa Naibu Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa)
Kwa picha zaidi Bofya Read More
No comments:
Post a Comment