ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, March 1, 2012

BALOZI AMINA SALUM ALI NA UWEKEZAJI BARANI AFRIKA

Amb Amina S. ALI,  Mwakilishi wa Umoja wa Afrika akiwa kwenye picha ya pamoja  na wafanya biashara wa San Fransisco California nchini marekani. Picha ya pili,  wapili kutoka kushoto  Bw Richard  Siyombo mtendaji mkuu wa shirika la maendeleo na biashara ya California na Mwakilishi wa serikali wa  mamlaka ya biashara ndogo  wa California (US Small bussiness administration ) katika kikao cha kukuza uwekezaji baina ya  US na Afrika mwishoni mwa wiki hii.

No comments: