ANGALIA LIVE NEWS

Friday, March 2, 2012

LOOK OF THE DAY

Bonnie Lenguris From Seattle,Washington State, USA

4 comments:

Anonymous said...

Kaka mgogoro huu unaleta.

Anonymous said...

Shehe tutazuiwa na wake zetu kutembelea Vijimambo. Miye nimepigwa na mwiko kichwani.

Anonymous said...

Mbona simjui huyu wakati mimi nakaa Seattle, vipi ameolewa?

Anonymous said...

Wewe ndugu yangu, Anon:Mar2,2012 02:10,wewe angalau umepigwa mwiko kichwani, mimi mwenzio nilipigwa kwenye "maninihino" yangu, na kuanzia leo nisahau kabisa kuhusu kupewa "unyumba" mpaka wiki hii nzima ipite.
Hii ni habari kubwa yakhe. Na mimi niko hapa Seattle sijapata hata kupishana njiani na huyu mtu. Lakini kweli yupo hapa katika hiki kijiji chetu cha seattle?.